PICHA: SEND OFF YOLANDA MASINDI: PRIMROSE HALL-MBEZI BEACH: 14.09.2017

MC. Dr. Chris Mauki akiwa tayari kabisa kwa kazi moja tu ya kuhakikisha usiku wa Yolanda Masindi unakwenda kama ulivyopangwa Matron wa bibi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini Bibi harusi mtarajiwa (Yolanda Masindi) akiingia ukumbini kwenye usiku wa Send off yake Mwenyekiti wa kamati Mr. Ezra Mziray akiwakaribisha wageni waalikwa waliofika kwenye send off ya Yolanda Masindi Bibi harusi mtarajiwa akimpatia zawadi ya saa ya mkononi mume wake mtarajiwa Mr. Stanley John  Yolanda Masindi (Bibi harusi mtarajiwa) akimtambulisha mume wake mtarajiwa Mr. Stanley John Wazazi wa bibi harusi mtarajiwa Mr. & Mrs. Joseph Masindi wakitangaza zawadi yao kwa binti yao kipenzi Yolanda Masindi Yolanda Masindi (bibi harusi mtarajiwa) akikabidhi zawadi kwa wazazi wake Mr. & Mrs. Joseph Masindi

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *