PICHA: HARUSI YA VIVIAN JOHN MGANGA NA MKEWE KIPENZI BEATRICE: MWIKA SOCIAL HALL: 09.09.2017

 Wazazi wa bwana harusi Mr. & Mrs. John Mganga wakiingia ukumbini Maids pamoja na Grooms Men wakisafisha njia ili maharusi waingie ukumbini MC. Dr. Chris Mauki akiwakaribisha Best man na Matron  Best man na Matron wakiingia ukumbini Maharusi, Mr. & Mrs. Vivian Mganga  Mtumishi wa Mungu Fr. Novatus akiwa tayari kabisa kufungua kwa sala usiku wa harusi ya Mr. & Mrs. Vivian Mganga Mwenyekiti wa kamati akiwakaribisha wageni waalikwa  Burudani zilitawala ndani ya Mwika Social Hall MC. Dr. Chris Mauki Hii ndio kamati ya maandalizi iliyofanikisha harusi ya Mr. & Mrs. Vivian Mganga 

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *