PICHA: KITCHEN PARTY YA BELITA MALATA: TABATA: 27.08.2017

Mtoa mada, Dr. Chris Mauki akisalimiana na bibi harusi mtarajiwa Belita Malata

Belita Malata, bibi harusi mtarajiwa  Usikivu yakinifu 

Kuna watu ambao waliamua kurekodi nondo za Dr. Chris Mauki na wengine waliamua kuchukua notes kabisa kwenye madaftari yao. Dr. Chris Mauki akishusha nondo zake kwenye Kitchen Party ya Belita Malata

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *