PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE EVENT YA GLOBAL EDUCATION LINK: MWL. NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTER: 12.08.2017

Dr. Chris Mauki akiongea kwenye mkutano wa wazazi na wanafunzi wanaosoma na wanaotarajia kwenda kusoma nje ya Nchi, chini ya Kampuni ya Global Education Link. Wazazi wakiwa na watoto wao wanaosoma na wanaotarajia kusoma nje ya Nchi chini ya Kampuni ya Global Education Link. Dr. Chris Mauki akishusha nondo zake

Wazazi pamoja na watoto wao wanaosoma na wanaotarajia kwenda kusoma nje ya Nchi, kwa umakini kabisa wakimfuatilia Dr. Chris Mauki.

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *