PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KWENYE 10 YEARS ANNIVERSARY YA MY WEDDING SOLUTIONS: SEASCAPE HOTEL: 07.07.2017

Dr. Chris Mauki akisalimiana na wageni waalikwa waliohudhuria 10 years anniversary ya My wedding Solutions

Dr. Chris Mauki na mkewe Miriam Mauki kwenye Red Carpet

Red Carpet

Mgeni rasmi, Mstahiki meya wa Ubungo Mh. Boniphace Jacob akitoa neno kwenye 10 years anniversary ya My Wedding Solutions

Dr. Chris Mauki

Dr. Chris Mauki akifundisha kuhusu mahitaji ya mwanamke na mwanaume katika ndoa.

Dr. Chris Mauki akimkabidhi cheti Mh. Boniphace Jacob

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *