PICHA: SEND 0FF YA IMANI KAPINGA-PRIMROSE HALL-MBEZI BEACH: 23.06.2017

Wageni waalikwa wakiingia ukumbini

MC. Dr. Chris Mauki.

Bibi harusi mtarajiwa akiingia ukumbini.

Mtumishi wa Mungu akifungua kwa sala usiku wa Send off ya Imani Kapinga

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akiwakaribisha wageni waalikwa.

MC. Dr. Chris Mauki akiteta jambo na Bibi harusi mtarajiwa

MC. Dr. Chris Mauki akimkabidhi kipaza sauti bibi harusi mtarajiwa kwa ajili ya utambulisho

Bibi Harusi mtarajiwa (Imani Kapinga) akimtambulisha mume wake mtarajiwa.

MC. Dr. Chris Mauki.

Kamati ya maandalizi iliyofanikisha usiku wa send off ya Imani Kapinga

Mwenyekiti wa kamati akikabidhi zawadi ya kamati kwa bibi harusi mtarajiwa.

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *