PICHA: HARUSI YA KLAUS FASHA NA MKEWE KIPENZI STELA: IMPALA HALL-MBEZI BEACH: 10.06.2017

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi akiwakaribisha wageni waalikwa ukumbini ili kufurahi pamoja na Mr. & Mrs. Klaus

Maharusi wakikata keki yao ya siku ya harusi.

MC. Dr. Chris Mauki

Mr. Timothy Fasha akitoa maneno ya baraka kwa Mr. & Mrs. Klaus

MC. Dr. Chris Mauki akiakikisha usiku wa Mr. & Mrs. Klaus unaenda kama ulivyopangwa

Maharusi wakifurahia jambo

 

Kamati nzima ya maandalizi iliyofanikisha usiku wa Mr. & Mrs. Klaus

Kwa mahitaji ya MC katika shughuli mbalimbali za kijamii, corporate, send off, weddings na nyingine nyingi wasiliana nasi kwa 0713 407182, 0655 756959 au chrismauki57@gmail.com. Pia kama unatumia Android system download App ya Dr. Chris Mauki na unaweza kufanya booking zote moja kwa mojaDr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *