SINGLE PARENT EVENT “FURAHA KWA MZAZI NA MTOTO” DANKEN HOUSE MIKOCHENI TAR 26.04.2016

Tarehe 26 April siku ya muungano tutakuwa na tukio hili kubwa la Single Parents lenye moto wa “FURAHA KWA MZAZI NA MTOTO”. Ninajua wapo wazazi wengi wanaolea watoto au mtoto wenyewe. Labda mzazi mwingine alifariki, au ndoa ilivunjika au mzazi mmoja hakubahatika kuoa au kuolewa baada ya kupata mtoto au watoto. Najua ziko changamoto nyingi sana kwenye malezi haya. Natamani tukae pamoja tuzungumze. Karibu Danken House, opposite Baraka plaza Mikocheni kuanzia saa 2.30 asb hadi saa 8mchana. Kutakuwepo na chakula na kinywaji. Unajipatia tiketi yako kwa sh. 30000 tu. Tiketi zinapatikana katika maeneo yafuatayo; Maznat Bridal – MIKOCHENI. Kinyago travelers NIC building city centre. MAK bookshop Mlimani city. Mr Price Mlimani city. OM Gift shop – Dar free market. USIKOSE, MWAMBIE NA MWINGINESINGO 1 SINGO 2 SINGO 3

Asante sana kwa wafadhili wetu CYN HENJEWELE DOCORATIONS wapambaji mahiri sana hapa jijini kwenye shuhuli yeyote uliyonayo. Namba zao ziko hapo kwenye tangazo na SHEREHE YETU wauzaji wa stationaries, zawadi, na wapiga picha za mnato na video wako pale Sinza Makaburini.Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *