SAIDIA WANANDOA WENGINE KWA KUJIBU MASWALI HAYA

????????????????????????????????????

MARRIAGE SURVEY “MASWALI YAHUSUYO WANANDOA”

Uchaguzi umeisha na rais amesha-apishwa, turudi kwenye kuboresha familia zetu. HII NI KWA WALE WANANDOA TU. Unaombwa ujaze dodoso (questionnaire) hiyo na utaweza kusaidia wengi ikiwa ni pamoja na mwenza wako. Inashauriwa usijaze haya maswali ukiwa na mumeo/mkeo ili uwe huru zaidi.

Tumia link ifuatayo kupata  maswali

http://goo.gl/forms/366njt4OdN

Unaombwa uitume hii link na huu ujumbe kwa wanandoa wengine. ASANTE
Chris
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *