PICHA: ZAWADI YA KADI YA CHADEMA ILIVYOZIMUA HARUSI YA GOODLUCK KIMARO NA JUDITH – LAW SCHOOL MULTI PURPOSE HALL: 15.08.2015
Chris MaukiAug 17, 2015Matukio

Keki nzuri sana ya harusi

Joseph na Mkewe Penina Laizer. Best man na matron

Bwana harusi na biharusi kwa dance noumaaaaaa


Mwendo wa doro buchi


Kama kawa Mc Dr. Chris Mauki alisimamia show nzima

Dada wa Bwana harusi alifungua kwa sala


Mwenyekiti wa kamati akitoa welcoming remark

Keki ikikatwa


Pokea mpenzi wangu

Ngoja nasisi tukumbushie miaka ileeeee

Jilambe my switiooooo

A happy smile

Mashostiii


Mwakilishi wa Ecolab akipokea keki. Hawa ni wafanyakazi wenzake na biharusi


Najipendaje sasa nikiwa kazini???

Kushikana huku sasa ndiko kunakokosekana baada ya miaka miwili ya ndoa. May this thing continue wapendwa

Toasting

Nilimpenda sanaa huyu dogo


Grooms’ men. Jamaaa walikuwa wana dance mbayaaaaa


Baba na mama wa Judith Kessy

Dada wa Goodluck, Violeth. hili ni jembe balaa kwenye kupiga kazi. Dada yangu nakuaminia balaaa

Bwana harusi alilia sanaa alivyokuwa akimshukuru mama yake


Mama akitoa nasaha

Happy faces


Mtu na wifie na braza wake




Madada wakileta zawadi


Dada Violeth akiwakumbatia maharusi kwa furaha

v

Mbutanangaaaaaa, ngachokaaaaaaaa kamati yoteeee ni Chademaaaaaaa

Furaha teleeeeee

Kwa furaha kama hizi tushirikishe tukusaidie kufanya tukio lako kuwa shangwe teleee. Tupigie kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com