PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KTK MKUTANO MKUU WA NSSF – AICC ARUSHA

nssf 1

Dr. Chris Mauki akishusha nondo kwa watu wa mataifa tofauti waliohudhuria mkutano huo mkubwa

nssf 2

nssf 3

Usikivu wa umakini zaidi

nssf 4

Wale waliohitaji kutafsiriwa lugha walipata huduma hiyo ili kumfwatilia Dr. Chris Mauki kwa ufasaha

nssf 5

 

nssf 6 nssf 7

Dada yangu Zuhura Senare Muro akichangia kwa kutoa ushuhuda baada ya talk

nssf 8

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Felix Ntibenda naye alikuwepo siku hiyo

nssf 9

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Ndg. Aboubakar Rajab

nssf 10

Muendesha shuhuli alikuwa dada yangu Saida Simba Kilumanga

nssf 12

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akitoa shukrani

nssf 15 nssf 16 nssf 17

Topic ileeee ipo kwenye big screeen

nssf 18 nssf 19 nssf 20Dr. Chris Mauki. An expert in Relationships, Social and Counseling Psychology. Lecturer in Psychology: UDSM. Inspirational & Motivational speaker. Family man


One thought on “PICHA: TALK YA DR. CHRIS MAUKI KTK MKUTANO MKUU WA NSSF – AICC ARUSHA

  1. Hassan Juma Kombo

    nzuri ni mara yangu ya kwanza leo baadada ya kusoma makala kwenye gazeti la mwananchi. Nafurahi kuona unasaidia kuelimisha jamii. Nitatembelea tovuti yako kila siku. Kukiwa na presentation tupeane mialiko. Mungu akubariki sana Chris.

    Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *