PICHA: HARUSI YA KENNETH LEVERI NA GLORY. MSASANI TOWER.TAR 01.05.2015

Baada ya talk ya Anglican Magomeni nikajivuta kuendeleza talent pale Msasani Tower kwenye wedding murua ya Kenneth na Glory. Angalia picha hizi hapa

Kwa mahitaji ya MC na uongozaji wa sherehe na matukio mengine mengi wasiliana nasi kwa 0713 407182 au email chrismauki57@gmail.com. Let your event make a differenceLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *