PICHA: SEMINA KWA VIJANA – ANGLICAN CHURCH MAGOMENI. TAR 01.05.2015

Tarere 1.5.2015 mchana nilipata nafasi ya kuwa mmoja wa wasemaji katika semina ya vijana iliyoandaliwa na uongozi wa kanisa la Anglican Magomeni na hapo nilikuwa nazungumzia “Kanuni rahisi za kukusaidia kuelekea mafanikio”. Hizi hapa ni picha chache za tukio hilo

 Hapa nikikabidhiwa jembe tayaari kuanza kulima

 I am a man of faith, hakuna kitu ninakianza bila kumwambia Mungu aanze na mimi. Na hii imekuwa siri yangu ya kupenya katika mengi

 Kama kawa Daniel Marandu alikuwa pamoja nasi, yeye pia hufuata kila nikanyagapo ili tu kubeba upako huu. Keep the fire burning brother, I can see where you are going
 Viongozi wa vijana walioandaa semina hiii.

 Haiachwi hata point moja ipite, madini lazima yahifadhiwe.
 High level of attention

 Jerome kutoka Muhimbili University (aliuyenyoosha mkono nyuma) naye kama kawaida alikuwepo kwenye talk. Huyu jamaa ananipa moyo sana maana anafuatilia kila anakosikia nimekwenda kufundisha. Kiu yake hii itampeleka mbali sanaaaaa. Keep it up brother

 Watu wakifuatilia somo kwa umakini mkubwa. Kaka msigwa naye alikuwepo

 Upako wa kufundisha ukiwaumeshuka

 Anna Shuma akitoa maelezo mafupi na namna alivyoiona semina ilivyo yenye manufaa kwa vijana. Thanks Anna

 Hapa nikisoma post yangu ya kwenye facebook ya siku hiyo ili kuwasaidia vijana kufahamu namna ya kutumia mitandao ya kijamii kunufaika na sio kuharibika

Hili ndilo lililokuwa tangazo la semina hiyoLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *