Baada ya kutoka Loyola kuzungumza na wazazi asubuhi mpaka mchana siku ya Jumamosi 25.04.2015, jioni nikavamia kambi ya kuendesha shuhuli kubwa na iliyofana ya harusi ya Goodwill Nambaya na mkewe mpenzi Joyce pale Blue pearl Ubungo plaza. Hizi hapa picha za kukuonyesha baadhi ya matukio yaliyojiri
Kwa raha zao Goodwill na Joyce wakiingia ukumbini kwa mbwe mbwe
Mwenyekiti wa kamati Rumisha Mwiki, akiongea na kushukuru