PICHA: PARENTING TALK NA WAZAZI WA WANAFUNZI WA LOYOLA HIGH SCHOOL – TAR. 25.04.2015

Siku ya Jumamosi ya Tar 25.04.2015 asubuhi nilipata nafasi ya kualikwa na uongozi wa wazazi na wa shule ya Loyola ili kuzungumza na wazazi kuhusu masuala ya malezi na makuzi ya watoto. Kwakweli wazazi walijitokeza kwa wingi sana tofauti na matarajio yangu, ikanipa moyo sana kuona kiu kubwa ya wazazi katika kufahamu na kujifunza mambo ya malezi. Hizi hapa picha chache na video zake zinafwata.
 Nyomi ya ukweli, wazazi wakisikiliza mafundisho kuhusu malezi

 Hapa ndiyo tumefika tu Loyola nikiwa na mmoja wa vijana ninao wafundisha na kuwaandaa kuwa wazungumzaji wa hadhara “public speakers” Daniel Marandu
 
 Talk ikiwa imeshika kasi

 Nikiiweka simu yangu silence tayari kwa kazi iliyoniopeleka Loyola

Dr Chris Mauki na my Mentee Daniel Marandu mara baada ya kuwasili LOYOLA
Shukrani za pekee zimuendee mpiga picha wangu Brother White a.k.a Zungu mtaalamu wa picha za video na za mnato, anapatikana kwa namba 0715 993 988Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *