PICHA: SEND OFF YA ZAINA MANGAPI – MLIMANI CITY CONFERENCE CENTRE: 11/02/2015

 Hivi ndivyo ambavyo Mlimani city hall ilipendeza
 Hugo domingo ndio waliisimamia kazi hii ya kurembesha ukumbi
 Hapo ndipo ma red carpet yalifanyikia
 Keki ya send off
 Dj Omari wa Respect DJ’s na mwenzake walihakikisha kila kitu kwenye muziki kinaenda sawia

 Hii ni ratiba ya event nzima, upande mmoja ndipo kwenye contacts zetu na namna za kutupata
 Mdogo wa Zaina, Asha Mangapi

 Mama mzazi wa Zaina na Mjomba wake
 HB Entertainment walikuwa hima kuhakikisha kunafana

 Nilipata fursa ya kuisimamia show hii mwanzo mwisho
 Zaina Mangapi akiingia kwa furaha

 Nikitoa baadhi ya maelezo
 Usimamizi wa show ukiwa thabiti
 Zaina akikata keki yake ya send off
 Mama mzazi akipokea keki kutoka kwa mwanae

 Mdogo mtu Asha akipokea keki ya shukrani kutoka kwa dada yake

 Ufunguzi wa shampeni ndio uliofuatia

 Toasting kati ya Zaina na matron wake

 Zaina akitoa utambulisho wa ndugu zake
 Furaha na kucheza kulitawala shuhuli nzima

 Nyomi ikishuhudia tukio lililofana sana
 Nimuziki mpaka chini
 Mama Zaina akitoa nasaha zake
 Kulia ni bwana harusi mtarajiwa Salehe Nakei
 Nikimkaribisha muimbaji Nyota Waziri kutoka Njenje kutumbuiza

 Nyota akiimba wakati Zaina anakwenda kumkaribisha mumewe mtarajiwa chakula
 Mpenzi karibu twende kula

 Best man na matron walikuwa sawia
 Mdogo mtu Asha Mangapi akihakikisha hakosi tukio lolote
 Buffe zilishona kila aina ya mlo, show hii ya maakuli ilisimamiwa na Dorka catering chini ya uongozi wa rafiki yangu na dada yangu mpenzi Dorothy Kansolele. Hakika amesimama vema kwenye hii kazi. Ukiwataka Dorka catering wacheki kwa 0659 381 151
 Maharusi watarajiwa wakipata chakula

 HB Entertainment walihakikisha watu wa Bukoba wanajisikia wako Kamachumu
 Zoezi la zawadi lilifana sana
 Tunamtunza mama kwa kaazi njema ya malezi
 Kamati ilikuwa imesheheni
 Kutoka kwa kampuni ya familia, mdogo mtu aki “chop my money”
 Mama mzazi naye akitoa zawadi zake kwa mwanae
 Mzee Muta wa FM production ambao walisimamia show ya video na picha akitoa zawadi kutoka kapuni yao

 Salehe na wakwe wakiaga ili kuondoka ukumbini

 Tukiteta jambo na Zaina
Zaina akishukuru kwa kila lililojiri katika siku hii yake kubwaLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *