PICHA: RED CARPET YA VALENTINE LOVERS’ DINNER & TALK. PART 1

 Mamaa mwenyewe mwenye mji Miriam Lukindo Mauki
 MC wa shuhuli my brother, my friend and my student at UDSM Paul Masele

 The youngest couple of the day, miezi miwili tu ya ndoa, all the way from Morogoro

 Miriam na Dada Hope

 Joanita, a.k.a “Jo” Mrengo, Mmiliki wa RM Collections mmoja ya partners wetu. Ukitaka masuti na nguo nyingine tofauti toka uingereza, hawa wanahusika
 Hawa nao ni kutoka RM Collecetions

 Hata kama mtoto ana miezi 4bado hakuweza kuwa sababu ya wawili hawa kuto celebrate valentine, pongezi kwao
 Was happy kumwona mfanyakazi mwenzangu wa UDSM na mkewe, wale wanaosoma au waliosoma sheria UDSM mnaijua sura hii
 Hapa wala sina cha kuelezea

 Friends and partners in the business. Hawa ndio wabeba maono ya Valentine lovers dinner n talk. Mimi na Abdul Kimanga wa Respect DJ’s na Sherehe yetu.com
 Niliwahi kuwa MC kwenye harusi ya marafiki zetu hawa, na hata leo tabasamu iko pale pale, hongereni sanaaa

 Chris, Miriam na Joanita

 Papaa Rogers na Joyce Ibengwe nao waling’ara

 Martin Chanila na mtarajiwa pia walikuwepo

 The oldest couple of the day, 28 years kwenye ndoa na bado malovee mule mule

 Thomas Mongela na mkewe nao hawakukosekana

 Kulia ni Silvanus Mauki, mdogo wangu wa mwisho, na Best Mauki, vichwa hivi ndiyo kwenye technical department ya events zetu

 Haris Kapiga naye kama kawa

Paul na mentor wake Haris Hapiga. Kipaji cha ku mentor unacho kaka
Kesho nitakuletea full mapicha ya event nzima ilivyokuwa ndani na katika kila hatuaLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *