PICHA: BRIDAL SHOWER PARTY YA CHIPEGWA NA VIOLETH MALECELA -SEA VIEW 7.02.2015

 Chipe na Violeth Malecela wakiwa na furaha kwenye bridal shower party iliyofanyikia nyumbani kwa mzee Malecela pale sea view Jumamosi ya tar 7.02.2015
 Shangazi wa ma bibi harusi watarajiwa Mwelle Malecela ndiye aliye host shuhuli nzima
 Rafiki yangu Mc Adella ndiye aliyeshika mpini pale kati

 Nilipata heshima ya kukaribishwa kuzungumza na mabibi harusi hawa siku hiyo, waliokuwepo wanakumbuka nini kilishuka
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *