PICHA: KITCHEN PARTY YA TULINAWE “RUTH” ANDERSON WILILLO PALE HEKIMA GARDEN

 Tulinawe “Ruth” Willilo alivyong’ara juzi hapo Hekima Garden, Leo Alhamis tar 5.2.2015 ndiyo tunamtoa kwenye Sendoff yake nzuri itakayofanyika pale Lugalo Golf Club

 Mamamaaa Lizy Willilo wa Mangesho maandalizi ya shuhuli kwa simu hadi tukioni, hongera dadangu wewe ndo injini ya shuhuli hizi

 Kama kawa, Maria Nelly na class mate wao wa UDSM Law class mwaka uleeeeeeeeee

Mmmependeza jamaniLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *