PRE – VALENTINE DAY OUT YA WAPENDANAO ARUSHA IJUMAA 13.2.2015

Watuwangu wa ARUSHA a.k.a A Town nawajia kwa moyo wa dhati na upendo, Tukutane pale New Arusha Hotel tar 13.2.2015 Ijumaa kuanzia jioni. Nakuta tuzungumze mambo muhimu ya wapendanao na jinsi ya kuboresha mahusiano yetu. Soma details kwenye tangazo hapo juu na kama unaswali usisite kuuliza kupitia namba hizo hapo juu. Hii sio ya kukosa watu wa Arusha. Mwambie na mwenzakoLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *