PICHA: SENDOFF YA NEEMA KITEMBE MNDEME. 28.01.2015 KWALALUMPUR – SINZA

 Neema akionyesha huba kwa kumpa busu mume wake mtarajiwa Tumsifu, hapa alikuwa akimkaribisha chakula
 Kwalalumpur imetendewa haki
 Pale kati mpini ulishikiliwa na MC Dr. Chris Mauki

 Mtu na wake

 Kama kawa, Kwaito toka kwa Mafikizolo zilikamata mbayaaaa

 Dinner time, mamaa mbele babaa nyuma
 Fani ndani ya fani, passion into the passion
 Mamaaa Zainab, dada wa Biharusi mtarajiwa, alikuwa motoooooo kwenye kucheza, yani achaaa
 Happy moments, moments to remember
 Maids in rainbow colours

 Keki nzuri kabisa kutoka kwa Mwajuma cakes
 Neema akikata keki yake huku msimamizi wake Edna akimsaidia
 Neema akiwashukuru wazazi wake kwa kuwapa keki
 Neena akiwashukuru wazazi wa mume wake mtarajiwa, Mr and Mrs Kileo kutoka Lyamungo
 Toasting time
 Happy faces

 Mmmojawapo wa wazazi akitoa maneno ya nasaha

Kamati ya maandalizi
Picha hizi ni kionjo tu, kiu yako malizia kwa kuangalia zote ndani ya blog dada wa hii www.shereheyetu.com
Kwa mahitaji yote ya kuandaliwa matukio na kuyaratibisha (social and corporate events) wasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.comLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *