TUPIA JICHO PICHA ZA THE ONE SHOW YA TV 1 ON THE MAKING

 The One show ya TV 1 ikiwa kwenye maandalizi, new seasons,  hapa ni Dr. Chris, TJ (mtangazaji wa TV1), Peter, na mwisho kabisa ni Ezden (Mtangazaji wa TV1)

 Nikiwa na kaka Ezden, akiwa na furaha sana kuwa kiti kimoja na mimi leo baada ya kufuatilia kazi zangu na mishe mishe zangu za hapa na pale, na kuwa more inspired, sasa anakanyaga hatua na kufwata nyayo. Go go goo my good brother Ezden

 Wakati ambapo mshindi wa Big Brother Africa anakutana na Counselor na kukiri kuwa inspired sana tokea kitambo ingawa leo ndio ana kwa ana
Dr. Chris Mauki na Mshindi wa BBA Idris SultanLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *