ANGALIA MTAZAMO WA MABADILIKO ENDELEVU YA WANAWAKE KWENYE NDOA

 Utii na unyenyekevu uliokuwepo kwa wanawake mbele ya waume zao hapo awali, sasa sijui ni utii au hofu, hilo utalifikiri wewe pia
 Mambo yamebadilika leo, hofu imejeukia kwa mwanaume, wife kashika mpini, ukimwaga ugali anamwaga mboga, ukichelewa kurudi leo yeye analala hukohuko kesho, ukilogwa uchepuke basi yeye ndo atachepuka na rafiki yako na ukijua haimsumbui.
Swadaktaaaaa huku ndio tunakoenda, mwanaume kujituma bwanaaa, jali ujaliwe ndugu yanguLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *