PICHA: HARUSI YA EMMANUEL WALALA “OMO” NA MKEWE REHEMA – JK NYERERE INTERNATIONAL CONVENTION CENTRE 20.12.2014

 Sanaa ya Ushawishi. Nikifafanua jambo kwa maharusi Emmanuel Walala “Omo” na mke wake Rehema 
 Ukumbi murua kabisa wa JK Nyerere International Convention Centre (JKNICC) City Centre
 Watu wa mapambo walipatendea haki

 The stage
 Picha toka pozi la juuuu
 Mama wa bwana harusi akisoma ratiba zetu zenye details na mawasiliano ya kumpata Mc Dr. Chris Mauki
 Mama wa biharusi na ndugu wengine wa biharusi wakiingia ukumbini

 Groom’s men wakifanya manjonjo yao mbele

 Best man, rafiki yangu wa siku nyingi tokea UDSM Nkundwe Mwakiluma na Matron Jasmine wakiingia ukumbini
 Wakati maharusi wakiingia ukumbini
 Nikiendesha shuhuli
 Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi Mchungaji Nelson akikaribisha wageni
 Emmanue; “Omo” na Rehema wakikata keki yao ya harusi

 Kama picha inavyojieleza

 Goti sakafuni, mwana wawatu kafundwa, Rehema akikabidhi keki kwa wazazi wa mumewe
 Meza ya Maids na Groom’s men

 Mwenyekiti akiishukuru kamati
 Best man Mwakiluma akilisakata blues na maiwaifu wake
Shangwe kwa kushangweka kwenda mbele, biharusi utamtaka mbona????
Kwa matukio ya aina hii na mengine mengi usisite kuwasiliana nasi kwa namba 0713 407182 au chrismauki57@gmail.com. Fanya sherehe au tukio lako liwe na utofauti, sio tu la kawaida, Inawezekana sana tuLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *