BIDHAAA ZA DR. CHRIS MAUKI ZILIZOPO MAK BOOKSHOP MLIMANI CITY

Hii ni DVD ya mahusiano kwa walioko katika ndoa na wale ambao wako kwenye mahusiano ya kimapenzi, DVD hii ni mpya sokoni na ilisubiriwa kwa hamu kubwa sana, Kamwe hautabaki kama ulivyo ukimaliza kuiangalia na kuisikiliza kwa makini. Inapatikana MAK bookshop Mlimani City kwa sh 10000/= tu

 Baada ya tafiti na ushauri wa kisaikolojia kwa wazazi wengi kuhusu malezi, niliamua kutoa DVD hii ambayo ilirekodiwa live katika mkutano mkubwa wa wazazi wasiopungua 2000 pale Mlimani City Conference Centre. DVD hii itakusaidia kumwelewa vema mwanao na kukusaidia mbinu za kumfanya awe karibu zaidi na wewe kama mzazi. Inapatikana kwa sh 10000/= tu katika duka la vitabu la MAK pale Mlimani City
Kitabu hiki JITAMBUE KISAIKOLOJIA kimebadilisha maisha ya wengi mpaka sasa, na wengi wakliokisoma ni mashuhuda, wewe unaweza pia kuwa mmoja wa mashuhuda hao kwa kukisoma, sio kitabu kikubwa sana, unaweza kukimaliza kwa siku mbili lakini shule yake ni ya maana sana kwako na katika maisha mazima. Kinapatikana MAK bookshop kwa sh 10000/= tu.
Kwa maelezo zaidi ya upatikanaji wa bidhaa hizi, au jambo lingine lolote wasiliana nasi kupitia 0713 407182, au chrismauki57@gmail.comLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *