PICHA 6 ZA JINSI AMISA SAID JUMA NA MPENZI WAKE STANSLAUS MABULA WALIVYOTOKELEZEA

Hii ilikuwa siku ya Sendoff party ya Amisa Said Juma pale Buffalo Hall Mbezi beach. Yeye na Mpenzi wake Stanslaus Mabula walipendeza sana. Bwana harusi Mtarajiwa ni Mstahiki Meya wa manispaaa ya Mwanza. Mimi nilisimama kati kama Director of ceremony
 Amisa na mpenzi wake Stanslaus wakiwa na rafiki zao Mstahiki Meya wa manispaa ya Ilala, Mh. Jerry Silaa na Mh.  Mavunde wa Dodoma

 Nilikuwa kikazi zaidi kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawaLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *