PICHA: SEMINA YA WAHASIBU WA MAHAKAMA KUU NCHINI – MOROGORO HOTEL 19.11.2014

Kama kawa, nilipata fursa ya kushusha nondo kuhusu “JINSI YA KUJENGA HAIBA YA MTOA HUDUMA BORA” hapa ilikuwa Morogoro Hotel Jumatano iliyopita
Wadau wakiwa bize kusikiliza somo

Wadau hawa walitokea mikoa yote ya Tanzania katika ofisi za mahakama kuu
Shule inazidi kuteremka hapa
I love this thing, Public talks, yani acha tu
Hapa ni baada ya kumaliza talk yangu. Nipo na Chief Accountant wa Mahakama kuu Tanzania Mh. Fanuel Tiibuza (mwenye suti nyeusi na miwani), na kulia kwangu ni Straton Makundi, Mkuu kutoka AUDITAX kampuni iliyoandaa mafunzo hayaLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *