TUPIA JICHO KATIKA PICHA CHACHE ZA SENDOFF YA MAGDALENA LUCAS KUHARIBU ILIYOFANYIKA PICCOLO BEACH RESPRT IJUMAA YA TAR 31.10.2014

 Magdalena na matron wake wakikata keki
 Katika pozi, Magdalena akijiandaa kwenda ukumbini Piccolo
 Mama mzazi akiwa na wanawe wa kike, angalia wanavyofanana
 Kama kawa mwendo wa kwaito ndani ya picollo
 Biharusi mtarajiwa na matron nao wakienda sawa kwenye kwaito
 Pale kati nilikuwa nimeshika mpini mwenyewe, MC Dr, Chris Mauki kuhakikisha kila kitu kina run smoothly

 Kaka akiwamiminia shampeni Magdalena na matron wake
 Nikitoa maelekezo machache kabla ya kutoast
Kaka muoaji, a.k.a bwana harusi mtarajiwa Adam Kazarani akiwa na mpambe wake kwa chati mara baada ya kutambulishwa rasmi na Magdalena mbele ya halaiki kubwa, hapa nikitoa maelekezo kabla ya kuelekea kwenye dinner.Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *