PICHA 13 ZA SENDOFF YA QUEEN – KARIMJEE GROUNDS

 Mara tu baada ya toasting Queesn na matron wake wakionja champaigne

 She was looking extremely gorgeous 
 Wazazi wa Queen walikuwa wenye furaha sanaa
 Queen akimtambulisha Mume wake mtarajiwa
 Dancing with my father. Queen akifungua muziki kwa kucheza na baba yake
 Kama kawa Director of ceremony MC. Dr. Chris Mauki nikiwa nimeshika mpini kuendesha shuhuli
 Vikundi vikipita mbele kutoa zawadi kwa Queen
 Shangwe ilikuwa sio ya kitoto kwa kila mtu
Marafiki walikuwa wakishangweka sanaaaaa, nawaona friends niliokuwa nikiishi nao Hatfield Pretoria  South Africa, namwona Diana wa The Fields, namwona Chanja pia
Kwa matukio kama haya na huduma zinazohusiana na hizi usisite kuwasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.comLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *