PICHA 17 NIKITOA MADA KATIKA SHEREHE YA KUMPONGEZA FLORENCE MLAKI -AKEMI RESTAURANT

 Florence Mlaki ndani ya Akemi restaurant pale  Golden Jubilee tower

 Mama mzazi wa Florence akimlisha wmanae keki

 Nikisalimiana na Florence kabla ya kushusha nondo

 Upako wa mafundisho umenishukia

 Thanks Florence for inviting me, hapa nimeshamaliza kazi, nimewaachia wadau waliosikiliza kuyatendea kazi yaliyofundishwa
 Kabla ya kuondoka ilibidi nitie baraka kidogo, kama uonavyo, ma vegetables, na fish kwa sanaaa, kitambi mwiko, ma mafuta mafuta hayahusu skuizi, lazima kuwa na discipline ya kula sio unabugia kila kitu, utakuwa kama baluni
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *