PICHA 15 ZA WIVES IN CHRIST EVENT, PICCOLO BEACH RESORT -12.10.2014

Nikifundisha somo kuhusu NGUVU YA MWANAMKE

 Nikisisitiza jambo

 Wanawake wakifuatilia somo kwa makini

 Wakati wa maswali na majibu ulikuwa moto sanaaa

 Mkewangu mpenzi Miriam akimeza nondo za shule taratiibuuuu
Teaching and impacting lives is something I love and treasure

Kwa mahitaji yako ya public talks, motivational talks na inspirational talks, mafundisho kuhusu mahusiano, familia, malezi na saikolojia, wasiliana nasi kwa 0713 407182 au chrismauki57@gmail.comLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *