PICHA: HARUSI YA ADBUL KIMANGA. GOLDEN JUBILEE TOWER 14.9.2014

 Abdul na Mwahija

 Golden Jubilee Tower, JB Belmont Hall ilivyopambwa
 Rafiki yangu mkubwa Dorka wa Dorka Cetering akiwa ba bi harusi
 Hawa ni ma DJ’s wooote wa Respect na sherehe yetu blog, vijana wa kazi

 Mc Matemba, Mc Dokta Cheni na Mama MC Henjewele pia walikuwepo
 MC Haris Kapiga na MC Deo Ntukamazina nao ndani ya house
 Miriam wa mimi, mimi na bwana harusi Abdul
 Kama kawa na mimi pia nilishika usukani

Ma MC’s wa mujini woooote walikuwepo
Kwa picha zaidi tembelea www.shereheyetu.comLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *