BAADHI YA KUMBUKUMBU ZA GRADUATION YANGU AFRIKA YA KUSINI

 Tukiwa JN Airport Jumatatu ya tar 1.9.2014 tayari kuanza safari yetu kwenda Afrika ya kusini
 With my lovely family, My wife Miriam, Rommy and Ronel

 Santinel Apartments, Arcadia ndipo tulipokuwa tunaishi, 3rd floor no. 23, watoto walikuwa wanapata nafasi ya kucheza hapo chini daily kwasababu kuna children facility
 Sikuamini nilipokutana na rafiki yangu mpendwa Aunt Sadaka Gandhi kwenye ndege, tena row moja ya viti, alini surprise kuja kwenye graduation yangu. What a friend!!!! tulikaa naye South na kujeuza naye. Always I do appreciate this big time
 Huu ukumbi ni wa chuo kikuu cha Pretoria, unaitwa LC Devilliers, compound hii nzima pia inatumika kama centre ya sports. Tuliokaa mbele kabisa wenye red gowns ndio PhD’s wengine ni masters na bachelors’ degrees
 Yani huu muziki wa PhD kama sio mke wangu Miriam, ngoma ingelala mapema sanaaaa, she is my truly gift from above. Ronel mtoto wetu wa pili huyu alizaliwa nikiwa South, nilikuja kusalimia akiwa na miezi 3. It is not easy at all
 Mimi na marafiki zangu, mwenye joho jekundu anaitwa Afrael Sarakikya naye ali graduate, tunafanya naye kazi UDSM. Wengine ni marafikiz zetu wa nchi mbali mbali
 Just after being conferred with a PhD in Psychology of the University of Pretoria
 Bata kidogo, dinner baada ya graduation, hapa ni Tiscan BBQ iliyopo Groenkloof, Pretoria, wengi hapa ni watanzania, wanaijeria na waethiopia
Tukiwa kwenye mall kubwa sana ya Menlyn Rommy na Collins walipata marafiki gafla na waka bond sanaaa. Collins ni mtoto wa dada yangu Sara MaukiLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *