JE UNAIJUA FURAHA “FEKI”??


Ikiwa unapata furaha ya aina yeyote nje ya furaha unayoipata kwenye familia yako (hapa namaanisha furaha kutoka kwa mwenza wako na watoto wako) fahamu hiyo furaha ni “feki”. Pesa, mali, kujulikana, uwezo wa akili, umaarufu, na mafanikio ya aina yeyote ile hayawezi kukupa furaha ya kweli na yenye kudumu, na kama unajihisi kufurahia kwa hali yeyote uliyonayo nje ya familia yako basi hujaijua furaha ya kweli au bado hujajua unachokihitaji maishani mwako. Hapa nadhani wale ambao familia zao ni chanzo cha furaha katika mioyo yao wananielewa nazungumzia nini, “nothing fulfils than a happy home” – Chris MaukiLeave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *