TAZAMA PICHA CHACHE ZA COUPLES FRIENDS NETWORK “C2C”: VISIT YA KUWAPONGEZA DR. KWEKA NA PROSCOVIER KWA KUPATA MAPACHA

 Couples friends wakiwa ndani ya nyumba ya Dr Kweka na mkewe Proscovier

Kutoka kushoto: Tandi wa Adelard, Subi wa Eric Mchome, Carol wa Michael Nkya na Adeline wa Allen
 Joyce wa Rogers Ibengwe akiwa na mtoto

 Neema wa Harvey Kombe na Joyce wakiwa wamewashika Fidel na Favor

 Protas Godwin akitoa maelezo kwa Tandi, Proscovier, na Dr. Kweka

 Kutoka kushoto: Eric Mchome, Allen, Henry Moshi, Michael Nkya na mwanae

 Miriam akiwa amemshika mtoto

 Mimi na mupenzi, mstahiki meya wa moyo wangu Miriam

 Dr. Kweka akimtambulisha mama mkwe kwa friends
 Miriam akishukuru kwa niaba ya group
Mwishoni kabisa niliwajibika kukabidhi zawadi kutoka kwa couples friends kwa Bwana na bibi Kweka (Dr. Kweka ni mtaalam wa figo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili)Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *