MAENEO UNAKOWEZA KUVIPATA VITABU VYA JITAMBUE KISAIKOLOJIA, CD’S NA DVD’S ZA CHRIS MAUKI

Sasa kitabu cha “Jitambue kisaikolojia: Hatua kwa hatua kuyafikia mafanikio ya kweli” cha Chris Mauki kinapatikana Maznat Bridal Care Mikocheni karibu na Academic International school. Maduka mengine ni CCBC Survey kama unaelekea chuo kikuu (0712 565565) na Sun rise shop Kinondoni, karibu na kanisa la DPC au Barclays bank (0713947465). Dodoma vitabu vinakuja kwenye event ya tar 25 May 2014 pale Royal Village., na Arusha kwenye event ya Women in balance (Kitchen party gala) tar 21 June
Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *